Breaking News: Moto Mkubwa Waibuka na Kuteketeza Maduka Kariakoo

Breaking News: Moto Mkubwa Waibuka na Kuteketeza Maduka Kariakoo
Moto mkubwa umeibuka Kariakoo katika Mtaa wa Livingstone na Aggrey na unaendelea kuteketeza maduka. Tayari vikosi vya zimamoto vipo eneo la tukio kupambana na moto huo unaoendelea kuteketeza jengo la ghorofa ambalo lina maduka katika ghorofa ya chini.

Top Post Ad

Below Post Ad