'Calisah si Lolote, Watu Wamemjua Baada ya Kutembea na Wema Sepetu tu' Ben Breaker Aponda

Mwana mitindo ben breaker amefunguka na kukanusha tetesi zinazosema kuwa jina lake limekuwa likijulikana kupitia mgongo wa Calisah na kusema kuwa yeye anajulikana kupitia kazi zake na wala sio kitu kingine na amewaomba watu waache kumfananisha na Calisah kwa sababu Calisah kapata jina kupitia kutembea na Wema.

Watu wengi wamemjua calisah baada ya calisah kutoka kimapenzi na wema sepertu lakini ukiangalia mimi nimeanza kujulikana zaman kutokana na kazi zangu na sio kingine,nimeshinda tuzo za fashion nyingi tanzania na uganda pia hata nigeroia na mwaka huu tena niko naminated kuwania tuzo,kwaio mimi napata jin akutokana na kazi zangu uwezi kunilinganisha na watu wanaofanya skendo kufankiwa na kujulikana.

Calisah alipata jina sana kipindi flani kutokana na kutembea na  wema sepetu lakini baadae alikuja akapotea  kwa sababu hana kazi ya maana anayoifanya.

Top Post Ad

Below Post Ad