Davido A-Sign Dili Nono na Manager wa Justin Bieber

Kumekuwa na tetesi kuwa staa maarufu kutokea Nigeria Davido ambaye kwa sasa anafanya vizuri kimataifa kuwa amesaini dili nono lenye mkwanja mrefu na Manager wa Justin Bieber ambaye ni Scooter Braun

Tetesi hizo zimezuka baada ya wawili hao kuonekana wakiwa pamoja na kufanya mazungumzo katika mkutano wa kibiashara  huko Marekani , Scooter Braun kwa sasa anasimamia kazi za wasanii maarufu ikiwemo Ariana Grande, Justin Bieber , Tori Kelly, Martin Garrix na wengine wengi akiwa chini ya kampuni yake ya SB projects.

Hii inaweza ikawa ni good news kwa mashabiki wa Davido ambapo inawezekana ngoma kali ikaja soon ikiwa imewashirikisha baadhi ya wasanii wanaosimamiwa na kampuni hiyo ya SB projects.

Bonyeza PLAY hapa chini kuangalia Davido akiwa na Manger huyo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad