Dudu Baya Amcharukia Dully Sykes....'Fikisha Mtoto Miaka ya Foolish Age Alafu Ndio Ujisifie Wewe ni Baba Bora'

Kufuatia msanii Dully Sykes kutoa kauli kwamba Dudu Baya siyo baba bora kwani amemuacha mwanaye bila usimamizi ndiyo maana mtoto huyo, Wille anauza mihogo Coco Beach na kuvuta bangi.

 Kufuatia kauli hiyo, Dudu Baya amemjia juu Dully na kusema kwamba Dully amekurupuka, wala hapaswi kujifananisha na Dudu Baya kwa sababu yeye ameshindwa kuwalea wanaye aliozaa na wanawake mbalimbali na kuwaacha kwa mama zao au kuwaacha kwa bibi yao. VIDEO

Top Post Ad

Below Post Ad