Flaviana Matata Awapa Makavu Wanaoonyesha Mapenzi kwa Watu Wakishakufa

Flaviana Matata Awapa Makavu Wanaoonyesha Mapenzi kwa Watu Wakishakufa
Imekuwa ni desturi kwa miaka ya hivi karibuni kuona watu wakitumia mitandao ya kijamii kuonyesha hisia zao juu ya watu waliofariki na kuandika ujumbe kupitia mitandao hiyo.

Hivyo mwanamtindo maarufu nchini Flaviana Matata ambaye ametumia mtandao wa twitter kwa kuandika ujumbe ambao umewalenga wale wote ambao wamekuwa wakionyesha mapenzi kwa watu waliofariki kwenye mitandao ya kijamii na kuwataka waonyesha mapenzi hayo pindi wanapokuwa hai.

“Mapenzi tunayowapa au kuonyesha watu kwenye page zao wakiwa washatutoka tujaribu kuanza kuwapa wakiwa hai itapendeza zaidi. Ni mimi nimewaza kwa sauti”
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad