Msanii wa Kike kutoka kiwanda cha Burudani Nchini Gigy Money na rafiki yake wa karibu video vixen Nai ambaye ni mpenzi wa Moni Centrozoni ambaye imeonekana kama gigy kumfanyia unafki mwanadada huyo adi kufikia Nai na Moni Kuachana kupitia Wasafi TV Gigy ameamua Kufungukia beef hiyo ilivyokua.
" Nai aliniita mm mnafki mimi kweli ni mnafki wa vyeo na vyeti na CV ninayo yeye anatoka huko na kuja kwangu kumponda mpenzi wake anataka nimshauri, mimi siwezi zaidi nitampa namna ya kuachana naye na kumuumiza, mimi yangu na moj yananishinda na sijawahi kumuomba ushauri yeye ndo mswahili ila asitegemee nimwambie aende kumbembeleza mwanaume wake alale naye yaishe mimi sipo hivo ukija kwangu ntakushauri namna ya kumsahau tu na si mengine" alisema Gigy.
Gigy amesema ugomvi ulianza baada ya yeye kumwambia ukweli Nai kuwa Moni anamsaliti kwa mwanamke mwingine ambaye alifika kwake na kumpamba na kuona moni amempigia simu huyo mwanamke akaona si makosa kumwambia shoga yake huyo na si kumpelekea maneno ya kinafki ili kuwagombanisha.
"Siku mnafki kama anavyo dai kwanza nisije kumzalilisha Nai anatabia ya wizi alikuja kwangu akaiba mswaki siku nyingine nilienda naye kuchukua hela ya mtoto kwa baba yake aliiba chaji ya simu yeye ni mdokozi ambao unamualibia CV Aaache hiyo tabia wezi sisi tunakuibia mchana peupe na wewe upo hapo hapo " aliendelea gigy