Haji Manara Atoa Mpya 'Mimi ni Maarufu Kuliko Msemaji wa CCM Hamphrey Polepole'

Msimaji wa Simba Haji Manara siku za hivi amekuwa Msemaji maarufu kuliko wote kwa upande wa Michezo kutokana na staili yake ya usemaji huku akiweka na kuchombeza vijiutani kidogo kitu ambacho kimekuwa kikiwavutia wengi

Sasa leo amekuja na mpya na kumgeukia Msemaji wa CCM Bwana Polepole


"Sasa hivi mimi ni maarufu kuliko nilivyokuwa CCM hapo awali, sidhihaki ila mimi ni 'popular' kuliko Polepole"- Haji Manara

Nini maoni yako
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad