Ilivyokuwa studio Sam wa Ukweli akirekodi wimbo wake kabla ya kifo

Msanii wa Bongo Fleva, Salum Mohamed maarufu ‘Sam wa Ukweli’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo June 7, 2018  katika hospitali ya Palestina, Sinza baada ya kuugua.

Huu hapa ni wimbo ambao ulimfanya alale studio siku nne akiusubiri umalizike mpaka alipozidiwa na umauti kumkuta unaitwa ‘Walimwengu’

Bonyeza PLAY hapa chini kuutazama.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad