Jack Wolper Afunguka Wasafi Kutapeli Watu Kuwa Atakuwepo Katika Show ya Mbagala


Baada ya Wasafi kutangaza kuwa Jack Wolper na Harmonize watakuwepo kwenye Show moja huko Mbagala, Wolper amejitokeza na Kukana na Kuruka kimasai:

Ameandika haya kupitia Instagram:

"TANGAZO!! TANGAZO!!TANGAZO!!!..
NAOMBENI MTAMBUE KUWA SIPO TANZANIA NA SITOKUWEPO KWENYE SHOW YOYOTE.. IWE YA MBAGALA IWE YA POSTA MIMI KAMA WOLPER SIHUSIKII,
YOTE MNAYOYASIKIA WANAYASEMA NI YA UONGO WANATAKA KUWATAPELI
SITAKI MTU ATUMIE JINA LANGU KUVUTA WATU.
EPUKA MATAPELI
ASANTENI SANA.... #EPUKAMATAPELISUGU
#ACHENIKUTUMIAJINALANGUKUVUTAWATU
#SIPOTANZANIANASIRUDIMPAKAJULY🙏.NAWAPENDA SANA MASHABIKI ZANGU WOTE"

Hili hapa Tangazo la Wasafi:

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad