MWANAMUZIKI wa Marekani, Jordin Sparks, na mumewe, Dana Isaiah, ‘wamemfichua’ kwa mara ya kwanza kwenye mitandao mtoto wao wa kiume aliyezaliwa Mei 2 mwaka huu.
Katika posti moja, Jordin alimwonyeshamtoto huyo aitwaye Dana Isaiah Thomas Jr., akiwa anatabasamu huku amevaa fulana ya kutokea shingoni hadi magotini (bodysuit) iliyoandikwa “mommy loves me” .
Aliandika chini ya picha hiyo: “Tabasamu hili daima liko moyoni mwangu. Mimi ni tone la maji kwenye sakafu. Siwezi kuamini nimepata baraka na heshima ya kuwa Mama. Wow…Mungu ni mwema sana! 🦋ðŸ˜
Jordin Sparks Amuweka Adharani Mwanaye kwa Mara ya Kwanza
June 13, 2018
Tags