JWTZ yazungumza kuhusu askari wake aliyeuawa

Msemaji Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) Kanali Ramadhani Dogoli leo June 6 2018 amethibitisha kuwa June 3, 2018 Kikosi cha kulinda amani cha Askari wa Tanzania huko Jamhuri ya Afrika ya Kati kimeshambuliwa na kundi la waasi lijulikanalo kama Siriri .

 Akizungumza na waandishi wa habari Kanali Dogoli amesema waasi hao waliwashambulia Askari wa Tanzania ambapo askari mmoja amefariki, 18 wamejeruhiwa na wengine watano hali zao sio nzuri.


Tags

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad