Khadija Kopa Atoa Mpya ' Fahari ya Mwanamke Kiuno, Wewe Zidisha Mavitu Mwanaume Apagawe'

Nguli wa Muziki wa Taarabu Tanzania ameamua Kutoa somo kidogo kwa Wadada wanaolalamika kila siku kutokuwa na Maelewano na Wapenzi wao na kuishia kuachana ana kugombana kila siku

Soma hapa alichosema:

"Hakuna haja ya kugombana gombana kila siku, wewe zidisha mavitu ili mwanaume achenguke, fahari ya mwanamke nyonga vitu vingine majaliwa"- Khadija Kopa

Nini maoni yako juu ya hilo


Top Post Ad

Below Post Ad