Kijana Aliyemuokoa Mtoto Gorofani Ashinda Tuzo ya Heshima ya BET

Kijana Aliyemuokoa Mtoto Gorofani Ashinda Tuzo ya Heshima ya BET
Kijana Mamoudou Gassama (Spiderman) raia wa Mali ambaye mwezi uliopita alijipatia umaarufu duniani kote kwa kitendo cha kumuokoa mtoto aliyekuwa akining’inia ghorofa ya tano jijini Paris usiku wa kuamkia leo amekwara tuzo ya heshima ya BET nchini Marekani.

Gassama na wenzake watano Justin Blackman, Anthony Borges, Shaun King, James Shaw Jr. na Naomi Wadler wamepewa tuzo hiyo ya heshima katika kipengele cha “Humanitarian Awards”.


Tazama orodha kamili ya washindi wa tuzo zaa BET 2018 zilizofanyika jijini Los Angeles usiku wa kuamkia leo.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad