Lukaku Afanya Kweli Apiga Magoli Mawili Michuano Kombe la dunia

Lukaku Afanya Kweli Apiga Magoli Mawili Michuano Kombe la dunia
Straika wa Ubelgiji na klabu ya Manchester United, Romelu Lukaku amefanikiwa kufunga magoli mawili na kuisadi timu yake ya taifa kuchomoza na ushindi wa jumla ya mabao 3 – 0 dhidi ya Panama mchezo wa kundi G wa michuano ya kombe la Dunia inayo endelea kutimua vumbi huko nchini Urusi.



Bao la kwanza la Ubelgiji likifungwa na Dries Mertens dakika 47 ya kipindi cha pili kisha Lukaku kutupia mawili kimyani dakik ya 69 na 75 na hivyo kuufanya mchezo huo kumalizika kwa jumla ya mabao 3 – 0.

Kikosi cha Ubelgiji: Courtois, Alderweireld, Boyata, Vertonghen, Meunier, Witsel, De Bruyne, Carrasco, Mertens, E. Hazard, R. Lukaku.

Wachezaji wa akiba wa Ubelgiji: Mignolet, Casteels, Kompany, Dendoncker, Hazard, Tielemans, Dembele, Fellaini, Chadli, Januzaj, Batshuayi.

Kikosi cha Panama: Penedo, Murillo, Escobar, R Torres, Davis, Gomez, Godoy, Cooper, J Rodriguez, Barcenas, Perez.

Wachezaji wa akiba: Claderon, A Rodriguez, Cummings, G Torres, Diaz, Machado, Pimentel, Arroyo, Ovalle, Tejada, Avila, Baloy.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad