MAAJABU: Anayedaiwa kufariki miaka 18 iliyopita afufuka, ndugu washangaa, wasimulia


Leo June 15, 2018 nakusogezea stori kutoka mkoani Kigoma amabpo Kijana mmoja ambaye katika hali ya kustaajabisha katika mkoa huo, aliyefariki na kuzikwa Miaka 18 iliyopita ameonekana katika Kijiji cha Basanza, akiwa anaongea vizuri na afya yake ikionekana kuwa njema.

Kijana huyO anayeitwa Nicholaus Tahijemaarufu kama Nchaho imeelezwa na wanafamilia kuwa alifariki dunia mnamo mwaka 2000 akiwa na umri wa miaka 16, ambapo sasa ni Miaka 18 baada ya kufanya mazishi ya kijana huyo.

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad