MADAM RITHA: Wanaobana Kupiga Nyimbo za Wasanii wa BSS Wana Laana
0Udaku SpecialJune 09, 2018
Top Post Ad
Madam ritha kutoka Bongo star search (BSS) amezungumza na Refresh ya Wasafi TV kuhusiana na wasanii wa BSS kutopewa support ya kutosha ya nyimbo zao kwenye Mediahouses.