Maiiti mbili zimeokotwa lango la kuingia ofisini Ubungo, Meya amezungumza (Video)

Meya wa Ubungo Boniface Jacob alitoa taarifa katika ukurasa wake wa Twitter June 14, 2018 akiandika hivi nanukuu “Tarehe 07 June 2018 alfajiri na tarehe 12 June 2018 jioni, Siku mbili tofauti, zimeokotwa Maiti mbili za Kiume pembezoni, lango la kuingilia Ofisi za Manispaa ubungo Zikionekana kufungwa kamba na kuteswa kisha kutupwa na ketelekezwa Nje ya ofisi zetu!” mwisho wa kunukuu

VIDEO:
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad