Mama Hamisa Mobeto Avujisha Siri Nzito 'Mimi Ndio Huwa Namwambia Hamisa Asitoe Mimba'

Mama mzazi wa Hamisa Mobeto kazungumza kwa mara ya kwanza na Ayo TV na kuelezea baadhi ya mambo kuhusu mwane Hamisa ikiwemo yale yanayotokea kwenye mitandao ya kijamii ambapo kasema kuwa moja ya vitu anavyo mwelezaga Hamisa ni pamoja na swala la kumkatza asitoe mimba huku akitaja sababu za kumwambia hivyo.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza MAMA HAMISA akizungumza.

Top Post Ad

Below Post Ad