Mama Mobetto Aiomba Msamaha Familia ya Daimond " Mmenitukania Mwanangu Hadi Tumbo la Uzazi Linaniuma"

Mama Hamisa Mobetto Ashindwa Kuvumilia Matusi Anayotukanwa Mwanaye  Aiomba Radhi Familia ya Daimond " Mmenitukania Mwanangu Hadi Naumwa Tumbo la Uzazi"
Baada ya Matusi yanayoendelea mitandaoni kwa Hamisa Mobeto Kutoka katika familia ya Daimond na team Zari baada ya Daimond kurudiana na mzazi mwenzake Zari, Mama Mzazi wa mwanamitindo Hamisa Mobeto ameingilia kati ugomvi huo wa chini kwa chini unaoendelea mitandani kwa kumuombea mwanaye Msamaa.

Mama Mzazi wa Hamissa ameonekana kuumizwa na matusi na maneno anayotumiwa mwanaye na kuamua kuonyesha hisia zake kupitia ukurasa wake wa istargram kwa kuandika hivi;-
" Mmenitukania mwanangu hadi tumbo la uzazi limeniuma natamani ningewazaa wawili ili afarijiwe na mwenzie, pia ningeomba familia ya zote zilizo instagram mpunguzeni matusi na kumdhalilisha mwanangu kama kawakosea ninamwombea msamaha  mwezi huu mtukufu.... mpeni amani ili na mimi nifurahie furaha ya uzazi wangu. Ni mwenyezi mungu pekee huchagua barabara atakayopitia mwanangu"

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. tulia Mama Mobeto. utayaona muda si mrefu. na wala Hawajarudiana kimapenzi ni kulea watoto tuu. hata Mwanao anajua.

    ReplyDelete
  2. kwa nnavyo wajua Dai na kizee chake wangerudiana wangeshaonyesha picha ya kutiana. ila mmmmhhh Misa bado yumo moyoni kwa Dai.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad