Maneno Mazito ya Dogo Janja kwa Irene Uwoya "Usicheze na Midoli Haing'ati"

Maneno Mazito ya Dogo Janja kwa Irene Uwoya "Usicheze na Midoli Haing'ati"
Baada ya Muigizaji Uwoya kupost kwenye Instagram yake ikiwa ni kuwajibu mashabiki wake wanao comment vibaya kwenye post zake, naye mume wake ambaye pia ni msanii wa bongofleva Dogo Janja ameamua kumuandikia mkewe kwa kumuambia asicheze na Midoli kwani midoli huwa haing’ati.

Dogo Janja ambaye amepost picha ya mkewe Uwoya nakuandika caption aliyosomeka hivi..>>>“Usicheze Na Hii Midoli, Kwa Maana Midoli Haing’ati..❤️” Dogo Janja

Top Post Ad

Below Post Ad