Maswali Yazuka Baada ya Mwandishi wa Habari Kuzuiliwa Kuingia Ikulu


Mwanahabari kutoka katika shirika la habari la Urusi la Russia Today amezuiliwa kuingia ikulu mjini Paris wakati ambapo rais wa Ufaransa Emmanuel amejinasibu  kuheshimu uhuru wa  habari .

Mwanahabari huyo  kama wanahabari wengine alikuwa na ruhusa ya kutimiza wajibu wake  amezuiliwa na kuingia ikulu mjini Paris nchini Ufaransa.
Kuzuiliwa kwa  mwanahabari huyo  kulirekodiwa na  kamera ya siri ilikuwa ikitumiwa na mwanahabari huyo. Polisi aliekuwa katika doria alimwambia mwanahabari huyo kuwa kwa kuwa ni Russia Today  , hukana ruhusu ya kuingia kama ilivyoagizwa na rais.

Wakati  jarida la Le Point la Ufaransa lilichapisha toleo lake  mwanzoni mwa wiki  na picha ya rais ErdoÄŸan, rais wa Ufaransa alisema kuwa ni uhuru wa habari.
Mwanahabari huyo alietambulika kwa jina la Kyrill Kotikov ameshangazwa na  mwenendo huo.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad