Mbunge Aliyekuwa Mstari wa Mbele Kushinikiza Katiba Mpya Apigwa Risasi


UGANDA: Mbunge Ibrahim Abiringa ambaye ni miongoni mwa viongozi waliokuwa mstari wa mbele kushinikiza mabadiliko ya Katiba, ameuawa kwa kupigwa risasi na #WatuWasiojulikana usiku wa kuamkia jana

Mwanasiasa huyo wa chama tawala cha NRM na mlinzi wake waliuawa karibu na makazi yake huko jijini Kampala

Jeshi la Polisi nchini humo limeagizwa na Rais Yoweri Museveni kuwasaka waliomuua Mbunge huyo na kuwafikisha mbele ya sheria

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad