Mbwana Samatta Ampoteza Rafiki yake KRC Genk


Mbwana Samatta amempongeza mshkaji wake Omar Colley raia wa Gambia kwa kujiunga na club ya Sampdoria inayoshiriki ligi kuu nchini Italia.

Colley ameitumikia KRC Genk kwa miaka miwili huku akiwa rafiki wa karibu wa Samatta.

Baada ya Colley kutangazwa rasmi kajiunga na Sampdoria, Samatta kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika: "Hongera na kila la heri rafiki yangu Colley."

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad