Mexico Yaanza Vizuri Kombe La Dunia,yawatuliza Mabingwa Watetezi Ujerumani 1-0


Bingwa mtetezi wa kombe la dunia timu ya Ujerumani imeanza vibaya kutetea kombe lake kwa kukubali kipigo cha goli 1_0 kutoka kwa Mexico.

Ujerumani ilifungwa goli 1_0 na Mexico dakika ya 35 ya mchezo kwa mpira uliopigwa na mchezaji Hirving  Lozano na kuingia wavuni moja kwa moja.

Mexico inavunja rekodi aliyokuwa ikishikiliwa na Algeria kwa kumfunga mjerumani kwenye mchezo wa kwanza mwaka 1982 rekodi iliyodumu miaka 36
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad