Mwanamume Amnunulia Mdoli wake gari la Sh Milion 45

Mwanamuziki chipukizi kutoka Nigerian, Shaa Shuga alivunja intaneti kwa kuchukua hatua isiyo ya kawaida
Shaa ambaye amekuwa katika uhusiano na doli alimnunulia doli huyo gari hivi majuzi
Shuga alimnunulia Samantha gari aina ya Camry 2013 ambayo inasemekana kuwa TZS 45 milioni Mwanamuziki chipukizi kutoka Nigerian Shaa Shuga ameonekana kuwa mwehu baada ya kununua doli la kimapenzi ‘Samantha’

Shuga amekuwa katika uhusiano na doli huyo na amepata ufuasi mkubwa mitandaoni kutokana na hatua hiyo.

Hili kuelezea mapenzi yake, hivi majuzi alimnunulia doli huyo gari la TZS 45 milioni.
Picha za doli huyo zilisambaa mitandaoni haraka huku wengi wakiwapongeza ‘wachumba’ hao na kuonekana kuvutiwa na uhusiano kati yao

Shuga aliamua kutumia gari hiyo kuonyesha alivyokuwa amejitolea katika uhusiano huo. Cha kushangaza ni kuwa doli huyo ana ukurasa wa mtandao wa kijamii ulio na wafuasi zaidi ya 1000. 

Top Post Ad

Below Post Ad