Mwanamuziki Bushoke Amevunja Ukimya na Hii “Checho” Tazama Video

Huyu hapa staa mkongwe kwenye game ya Bongo Fleva Bushoke ambaye anakudondoshea video mpya ya “Checho” akiwa kamshirikisha Alicios kutokea Nairobi Kenya.

VIDEO:

Top Post Ad

Below Post Ad