Nimetimiza Wajibu Wangu kwa Akili na Maarifa Yote kwa Kile Mlichonituma Ila Wengi Wamepewa- Nape Nnauye

 Mbunge Mtama Nape Mose Nnauye ambaye bado anaendelea kulizungumzia zao la Korosho nakusema wamesimamia kwa nguvu kile walichotumwa na wanaowawakilisha.

Nape ambaye anatoka katika Mkoa unaolima korosho ameandika katika ukurasa wake wa Twitter  “Wakulima wa korosho tumesimamia kwa nguvu, akili na maarifa yote kile mlichotutuma wawakilishi wenu.”

“Kila hoja bungeni inapofikia kuamuliwa {Ndio matakwa ya demokrasia}, waliowengi wanapewa na wachache wanasikilizwa, wengi wamepewa na wachache tumesikilizwa! tumetimiza wajibu wetu!” Nape Nnauye

Top Post Ad

Below Post Ad