Panya Kuanza Kutumika Kama Kitoweo Rasmi Huko Mtwara...Yadaiwa Wana Saidia Afya


MTWARA: Wataalamu wa sayansi ya mifugo mkoani humo wameombwa watafute mbegu nzuri ya Panya watakaokuwa wakitumika kwa kitoweo

Mapendekezo hayo yametolewa kutokana kitoweo cha Panya kupendelewa zaidi mkoani kwa kuwa wanaprotini nyingi

Protini inayopatikana kwa Panya imeelezwa kuwa ni muhimu kwa wazee na watu waliodhoofika kwa magonjwa mbalimbali

Wakazi wa Wilaya ya Masasi husaka Panya kwa udi na uvumba kwani mbali ya kuwa ni kitoweo lakini pia hujiajiri katika biashara ya uuzaji wa kitoweo hicho

Imebainika kuwa Panya au Samaki nchanga hutumika kwa chakula kwa watu wenye asili ya mikoa mingine waliojifunza kula kitoweo hicho

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad