Penati ya Mwendokasi Aliyopiga Ali Kiba


Wakati TeamSamatta inaongoza 3-2 dhidi ya TeamKiba, TeamKiba ilipata penati na ilikuwa nafasi kwao kusawazisha na kurudi kwenye mchezo lakini nahodha mwenyewe King Kiba akapaisha mkwaju wa penati na kuendelea kuipa timu yake wakati mgumu kusawazisha.

Dakika chache baadaye Samatta akaifungia #TeamSamatta goli la nne amabalo lilimaliza mchezo huo kwa matokeo ya TeamSamatta 4-2 TeamKiba.

Click Play kuangalia Ali Kiba alivyopaisha penati ambayo kama angefunga matokeo yangekuwa 3-3 kwa wakati huo.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad