Peru Yabadiri Historia Baada ya Miaka 40 Yashinda Kombe la Dunia

Peru Yabadiri Historia Baada ya Miaka 40 Yashinda Kombe la Dunia
Timu ya taifa ya Peru imemaliza mechi zake za makundi kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Australia na kuvunja rekodi yake ya kutoshinda mchezo kwenye Kombe la Dunia tangu mwaka 1978.

Tangu ishinde mechi yake ya mwisho dhidi ya Iran kwa mabao 4-1, imepita miaka 40 na siku 15. Ushindi wa Peru jana haujaisaidia kusonga mbele ambapo imetoka pomoja na timu ya Australia.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad