Picha: Dkt. Shein Akutana na Kufanya Mazungumzo na Vyama vya Upinzani

Picha: Dkt. Shein Akutana na Kufanya Mazungumzo na Vyama vya Upinzani
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na viongozi wa Vyama vya Upinzani katika mkutano wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar(wa nne kushoto) Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) katika  picha ya pamoja na  Vyama vya Upinzani baada ya  mkutano wa pamoja wa ushauriano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na  Mwenyekiti wa CUF Taifa Mhe.Ibrahim Haruna Lipumba,  wakati wa  Mkutano wa kushauriana na Vyama vya Upinzani  uliofanyika leo  katika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar. 
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad