Picha: Hivi Ndivyo Yalivyokuwa Mapokezi ya Rooney Club ya DC United

Picha: Hivi Ndivyo Yalivyokuwa Mapokezi ya Rooney Club ya DC United
Mamia ya washabiki wa klabu ya DC United wa mejitokeza hapo jana kwenye uwanja wa ndege huko Washington nchini Marekani kushuhudia ujio wa mshambuliaji wao mpya, Wayne Rooney aliyesajiliwa na timu hiyo.

Rooney amejiunga na DC United inayoshiriki ligi kuu ya nchini Marekani MLS kwa kandarasi ya miaka mitatu na nusu huku ikielezwa kuwa uamisho wake umegharimu pauni milioni 12.5.





Tags

Top Post Ad

Below Post Ad