Picha: Ridhiwani Kikwete, Fid Q na Wasanii washiriki Msiba wa Sam wa Ukweli Bagamoyo

Picha: Ridhiwani Kikwete, Fid Q na Wasanii washiriki Msiba wa Sam wa Ukweli Bagamoyo
Leo June 08, 2018 ndipo anapumzishwa katika makazi yake ya milele msanii wa Bongo Flava, Sam wa Uweli ambaye alifariki hapo jana.

Umati wa watu umejitokeza nyumbani kwao Bagamoyo ambapo anazikwa leo, wasanii wenzake nao pia wamehudhuria msiba huo. Picha zaidi na video.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad