Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mwingine.... Amteua CAG Mstaafu Ludovick Utouh

Rais Magufuli Afanya Uteuzi Mwingine.... Amteua CAG Mstaafu Ludovick Utouh
RAIS Magufuli amemteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh kuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na gesi Asilia Tanzania.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad