Rais Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam

Rais Magufuli amemteua Jaji Mstaafu  Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais John Pombe Magufuli amemteua Jaji Mstaafu Damian Zefrin Lubuva kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

Soma taarifa kamili:

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad