Saratani Yamtesa Baba Mzazi wa Michael Jackson Alazwa Hospitali

Saratani Yamtesa Baba Mzazi  wa Michael Jackson Alazwa Hospitali
MZEE Joe Jackson, baba wa wanamuziki, hayati  Michael Jackson na  Janet Jackson,  amelazwa hospitalini akiwa anaugua saratani ambayo madaktari wamesema hatapona.

Wanafamilia wa mzee huyo wamekuwa wakimtembelea hospitalini hapo akiwa kitandani akisubiri ugonjwa huo ambao hivi sasa uko katika hatua za mwisho.

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad