Seneta ahukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 14 baada ya kukutwa na kosa la ulaji rushwa nchini Nigeria
Seneta mmoja aliefahamika kwa jina la Joshua Dariye amehukumiwa adhabu ya kifungo cha miaka 14 gerezani baada ya kukutwa na kosa la ulaji rushwa nchini Nigeria. Seneta huyo aalikuwa gavana wa jimbo la Kaskazini nchini Nigeria.
Hamakama imetoa hukumu hiyo baada ya kumkuta Joshua na kosa la kutumia kiwango cha dola milioni 3,3 kati ya mwaka 1999 na mwaka 2007 alipokuwa gavana wa eneo hilo.
Hukumu hiyo imetolewa bila ya kutoa fursa kwa mshatakiwa kukata rufaa.
Seneta Ahukumiwa Kifungo cha Miaka 14 kwa Kosa la Ulaji Rushwa Nigeria
June 13, 2018
Tags