Sheria inasemaje Endapo Ukikamatwa na Polisi kwa Kosa Lisilo lako (+Video)

Leo June 14,2018 tunayo story kutokea wakili Leornad Manyama ambapo anazungumzia mamlaka ya Jeshi la Polisi katika kukamata watu wengine pindi wahalifu wanapokimbia.

Inafahamika kwamba kumekuwa na sintofahamu juu ya Polisi kumkamata Mtu mwingine kama aliyetenda kosa akiwa hayupo ama amekimbia. VIDEO:

Top Post Ad

Below Post Ad