Spika Ndugai Afanya Mazungumzo na Bodi ya WadhaminiChuo Kikuu Dodoma

Spika Ndugai Afanya Mazungumzo na Bodi ya WadhaminiChuo Kikuu Dodoma
Spika wa Bunge, Job Ndugai amekutana na kuzungumza na Bodi ya wadhamini kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo hicho(UDOM), Balozi Ami Mpungwe walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma.


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Balozi. Ami Mpungwe (katikati) na Makamu Mkuu wa Chuo hicho, Prof. Egid Mubofu walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma

Tazama Picha zaidi:


Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Wajumbe kutoka Bodi ya wadhamini ya Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) walipomtembelea leo Ofisini kwake Jijini Dodoma. Wajumbe hao waliongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Balozi Ami Mpungwe (wa tatu kushoto).

PICHA NA OFISI YA BUNGE
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad