Steve Nyerere Awatolea Povu Wasanii wa Bongo Fleva Walioshindwa kuhudhuria Msiba wa Sam wa Ukweli

Steve Nyerere Awatolea Povu Wasanii wa Bongo Fleva Walioshindwa kuhudhuria Msiba wa Sam wa Ukweli
Muigizaji wa Filamu nchini Tanzania, Steve Nyerere amesema kuwa wasanii wengi hususani wa Bongo Fleva hawana hofu na Mungu hao wanachoogopa ni kuporomoka kwa vipaji vyao.


Steve amesema hayo kwenye mahojiano yake na Bongo5 wakati akizungumzia sakata la wasanii wengi wa muziki kushindwa kuhudhuria kwenye msiba wa Sam wa Ukweli kitu ambacho amekieleza kama ni ukosefu wa umoja baina ya wasanii hao.
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad