Tanzia: Baba Mzazi wa Michael Jackson Afariki Dunia

Baba mzazi wa aliyekuwa Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson, Joe Jackson amefariki dunia leo mchana mjini Los Angeles nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 89.   Joe Jackson  Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Joe Jackson alilazwa tangu mwezi Machi mwaka huu  na alikuwa na anasumbuliwa na Saratani.     Joe Jackson ni moja Mameneja walioacha historia nchini Marekani kwa kuwameneji watoto wake katika kazi zao za muziki akiwemo marehemu Michael Jackson na Janeth Jackson.
Baba mzazi wa aliyekuwa Mfalme wa muziki wa Pop duniani Michael Jackson, Joe Jackson amefariki dunia leo mchana mjini Los Angeles nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 89.

Kwa mujibu wa mtandao wa TMZ, Joe Jackson alilazwa tangu mwezi Machi mwaka huu  na alikuwa na anasumbuliwa na Saratani.



Joe Jackson ni moja Mameneja walioacha historia nchini Marekani kwa kuwameneji watoto wake katika kazi zao za muziki akiwemo marehemu Michael Jackson na Janeth Jackson.

Tags

Top Post Ad

Below Post Ad