Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) wamemkamata Kijana aliyesambaza video inayoonyesha kidonge cha Panadol kinapomwagiwa maji kinageuka kuwa kitambaa.
TFDA imetoa ufafanuzi kuwa taarifa hiyo si sahihi na kwamba dawa ya panadol ni salama kwa matumizi kama zilivyo dawa nyingine.