Utani wa Spika Ndugai Baada ya Bunge Kupitisha Bajeti kuu 2018/19

June 26, 2018 Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania limeyakubali na kuyapitisha mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya mapato na matumizi kwa mwaka wa fedha 2018/19 kwa  kupigiwa kura za NDIO 266 huku HAPANA zikiwa 82.

 Baada ya kazi hiyo Spika Job Ndugai alitumia nafasi hiyo kuipongeza Serikali lakini akawakumbusha Mawaziri husika kuwakumbuka zaidi Wabunge waliopiga kura za ndio na sio wale waliosema hapana katika bajeti hiyo.


Tags

Top Post Ad

Below Post Ad