Vanessa Mdee Awacheka Wanaomsema Amekonda "Haha haha Eti Nimekondaa"

Vanessa Mdee Awacheka Wanaomsema Amekonda "Haha haha Eti Nimekondaa"
Maneno yamezidi kuwa mengi kutoka kwa mashabiki kwenye mitandao ya kijamii kuhusiana na muonekano wa msanii Vanessa Mdee na wengi kudai kuwa amekomaa haendani na umri wake.

Kupitia mtandao wa instagram wa Vanessa Mdee ameonekana kuzipata taarifa hizo kutoka kwa mashabiki wanaomsema kwamba amekomaa na hivyo kuandika “Eti nimekomaa” kupitia instagram status.



Hii itakuwa sio mara ya kwanza kwa Vanessa Mdee kuambiwa ishu ya kukomaa  kutoka kwa mashabiki kupitia comments kwenye baadhi ya picha anazozipost kwenye mitandao ya kijamii.

Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad