VIDEO: Davido alivyoimba na Mashabiki mwanzo mwisho Next Door Arena

Usiku wa June 16, 2018 muimbaji kutokea Nigeria Davido alifanya show katika Ukumbiwa Next Door Arena ulipo Dar es Salaam ambapo aliambata na wasanii wanao fanya muziki wa bongofleva ambao ni Ruby, Nandy, The Mafik, Aslay na wegine.

Tazama Show ya Davido kwa kubonyeza PLAY hapa chini..

Top Post Ad

Below Post Ad