VIDEO: Mlinga Afichua Ufisadi Mzito wa BOT, Spika Atoa Agizo

Mbunge wa Ulanga, Goodluck Mlinga wa chama cha mapinduzi ameitaka serikali kuchukua hatua dhidi ya janga linaloendelea nchini la vijana kutokua na kazi na kucheza kamari jambo ambalo linachangia kuua nguvu kazi ya Taifa. Mlinga pia amefichua ufisadi ambao unafanyika ndani ya benki kuu ya Tanzania.

TAZAMA FULL VIDEO HAPA CHINI
Tags

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad