Viongozi wa Dini Msiwe na Wasemaji Ambao si viongozi wa Dini” -Rais Magufuli

Rais Magufuli amekagua maendeleo ya ujenzi wa Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni Jijini DSM, unaojengwa kwa ufadhili wa Mfalme wa Morocco ambapo amewaahidi Viongozi wa dini zote kwamba serikali yanke itaendelea kushirikiana na dini zote.

“Napenda kuwaahidi Viongozi wa dini zote kwamba serikali yangu itaendelea kushirikiana na dini zote, Viongozi wa Dini msiwe na wasemaji ambao si viongozi wa Dini” -Rais Magufuli
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad