Wahamiaji Haramu Zaidi ya 100 Wakamatwa Uturuki

Wahamiaji haramu zaidi ya 100 wakamatwa Uturuki
Wahamiaji zaidi ya mia moja wamekamatwa kusini mwa Uturuki.

Kwa mujibu wa habari,wengi wao walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ugiriki.

Kati ya wahamiaji hao,wanawake wengi na watoto ndio walikuwa wakijaribu kuvuka kuelekea Ugiriki.

Wengi wa wahamiaji hao waliokamatwa ni raia wa Senegal,Mali,Eritrea na Afghanistan.

Wahamiaji wengi wamekuwa wakikamatwa katika baadhi ya maeneo nchini Uturuki wakiwa hawana vibali vya kuishi nchini humo.
Tags

Top Post Ad

Below Post Ad