Wanachama wa Klabu ya Yanga Wamegoma Kujiuzulu Kwa Yusuph Manji


Makamu Mwenyekiti wa Yanga - Clement Sanga anahairisha mkutano mkuu wa Yanga, anasema anampelekea ujumbe bwana Yusuph Manji kumwambia wanachama wa klabu ya Yanga wamegoma kujiuzulu kwake na bado wanamtambua kama Mwenyekiti wa klabu hiyo. #MkutanoMkuuWaYanga

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad