"Kuna vitu vingi sana ambavyo sitoweza kuvisahau katika maisha yangu hasa kuhusu huu mguu wangu, maana nilizaliwa nipo mzima kabisa lakini ilipofika mwaka 2009 nilipata ajali na kupelekea kupoteza mguu wangu na mpaka hii leo sifahamu ni wapi ambapo ulizikwa"- Wastara
Nini maoni yako
Wastara 'Nilipoteza Mguu Wangu ila Mpaka Hii Leo Sifahamu ni Wapi Ambapo Ulizikwa'
June 30, 2018
Tags